Fahamu zaid juu ya Afya- magonjwa, tiba na ushauri. Pia pata elimu sahihi ya ujasiriamali

Monday 18 April 2016

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO IMEPATIKANA!!!

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO IMEPATIKANA!!!

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE)
Habari za siku mpenzi msomaji wa blog hii, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia blog yangu iwapo una maoni au chochote unaweza kuwasiliana Nami, pamoja na hayo leo ninazungumzia ugonjwa hatari unaowanyima raha wengi wetu kutokana na Hali halisi hivyo kuwafanya watu  kuwa wazito kutafuta dawa,
VIDONDA VYA TUMBO NI NINI???
Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika kwa uteute wa ndani ya ukuta wa tumbo la Chakula au ndani ya utumbo mdogo wa Chakula na matokeo yake ni ukuta wa tumbo kugusana na tindikali iliyoko tumboni ambayo ni kali sana kama maji ya betri
_vidonda vya tumbo husababishwa na maambukizi ya bacteria waitwao HELICOBACTER PYLORI, aidha matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu za jamii ya Non_steroids anti inflammatory drugs kama vile ASPIRIN /DICLOFENAC huweza kusababisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu,
_vidonda vya tumbo vinaweza kujitokeza katika utumbo mdogo na katika tumbo la Chakula na pia ni Mara chache huweza kujitokeza katika  koo la Chakula ambapo hapakukusudiwa kustahimili tindikali ya tumbo
_ni Ajabu tu kwamba kimelea cha HELICOBACTER PYLORI kina uwezo wa kuishi ndani ya tumbo la Chakula licha ya  tindikali iliyomo katika tumbo ni kali sana, kiasi kimelea hiki kisingeweza kuishi tumboni ila kuna sababu za kisayansi zinazofanya kimelea hiki  kustahimili tindikali na kusababisha vidonda vya tumbo

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE)
Kuna aina nyingi za vidonda vya tumbo navyo ni
 (a) GASTRIC ULCERS ~hivi ni vidonda vinavyotokea katika mfumo wa Chakula yani tumboni
b) DUODENAL ULCERS ~hivi ni vidonda vinavyotokea katika utumbo mdogo
 (c) OESOPHAGEALS ULCERS~hivi ni vidonda vinavyotokea katika koo /koromeo la Chakula
HATUA KUU  ZA VIDONDA VYA TUMBO
ni vizuri kufaham kwamba huu ugonjwa una hatua nne ambazo ni muhimu
(@)HATUA YA KWANZA ~hatua ya kwanza ya huu ugonjwa ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo,
(@)HATUA YA PILI~hapa vijidonda hujitokeza   sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hvyo huongezeka na kua vikubwa  katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu (CHRONIC DYSPEPSIA) yani kushindwa kufanya Kaz kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia Kwenye mzunguko wa dam hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayar iko katika mfumo mzima wa damu
(@)HATUA YA TATU ~hii ni hatua ambayo ni ya  hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumbon na kubadilisha rangi ya choo kuwa ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula.
(@)HATUA YA NNE ~katika hatua saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo
VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO
visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
👉 Utumiaji wa madawa ya kuondoa maumivu kwa muda mrefu
👉mawazo na huzuni kwa muda mrefu
👉kutokuwa na muda maalum wa kula
👉Utumiaji wa pombe uliopitiliza 
👉 Utumiaji wa madawa ya kulevya nk
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
~Dalili za vidonda vya tumbo ni nyingi ila sio wote wanaopata Dalili hizi Wana vidonda vya tumbo
👉maumivu makali au kiungulia maeneo ya chembe moyo (EPIGASTIC PAINS)
👉kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi Hali hii huweza kuendana na kucheua na kujamba Mara kwa Mara
👉kutapika damu
👉mtu mwenye vidonda vya tumbo (gastric ULCERS) hupata maumivu makali pindi anapokula au amalizapo kula
👉mtu mwenye vidonda vya tumbo katika utumbo mdogo (duodenal ulcers) hupata maumivu makali pindi anapokua na njaa na akil hupata afueni
👉kupoteza hamu ya kula
👉kupata haja kubwa yenye raha ya damu Tena chenye harufu mbaya
👉kupungua uzito
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
~matibabu ya ugonjwa huu yanapatikana vizuri nchini mwetu ila tatzo ni tiba yenyew kutokua na wataalamu wa kutosha wa kutibu chanzo cha tatizo na kumaliza tatizo pasipo kuleta matatzo mengine kutokana na matibabu yenyew kuhusisha mfumo wa dawa za kemikal ambazo Zina madhara kwa mhusika na pia Zina maudhi mengi hivyo tiba bora kwa vidonda vya tumbo ni mlo kamili na dawa ziszo na kemikal pia tunapaswa kuepuka baadhi ya vyakula na kuzingatia masharti
MAMBO YA  KUFANYA KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
👉epuka kula vyakula vyenye viungo vingi kama vile pilau nk
👉 epuka kutumia pombe
👉epuka ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi
👉kula Chakula kidogo kwa muda maalum
👉kula vyakula vyenye fiber yan vyakula vyenye nyuzunyuzi ambavyo ni jamii ya mbogamboga
👉tengeneneza juice juice ya kabichi na karoti ni tiba Tosha ya vidonda vya tumbo
👉epuka unywaji wa kahawa au kinywaj chochote chenye caffeine kiepuke
👉epuka vyakula vyenye ngano
HABARI NJEMA KWENU TUNATOA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
KAMA UNASUMBULIWA NA UGONJWA HUU 0757157702 WASILIANA NAMI UJIPATIE DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO 
Share:

BIDHAA TIBA LISHE

 TIBA LISHE  ZISIZO NA KEMIKALI ZA VIWANGO VYA KIMATAIFA ZILIZOSAJILIWA RASMI TANZANIA NA TFDA 

GANODERMA SPORE CAPSULE
Huongeza kinga ya mwili.

Huzuia saratani.

Huponyesha haraka vidonda baada ya operesheni.

Hupunguza makali ya matibabu ya saratani.

Huponya na huzuia kikohozi kinachotokana na pumu.
SOY ISOFLAVONE CAPSULE
Huwa na wingi wa Isoflavone ambayo ni muhimu
Katika usawazishaji wa homoni kwa wanawake.
Huzuia saratani ya shingo ya uzazi na matiti.
Huzuia kuzeeka haraka na ufanya ngozi kuwa laini.
Haina madhara kwa mwili.
Huondoa matatizo ya homoni zisizofanya kazi vizuri(menopausal syndrome).
OCEAPLUS CAPSULE
Husafisha na uongeza utenda kazi wa figo.
Huongeza nguvu za kiume.
Huongeza namba ya mbegu za uzazi za kiume.
Husawazisha mzunguko wa damu kwenye uume.
Huangamiza bakteria na haina madhara kwa mwili.
GINSENOSIDE CAPSULE
Huzuia kusambaa kwa saratani za aina zote.
Huongeza chembe chembe hai nyeupe kwa siku 2-3 baada ya kutumia.
Husaidia vidonda kupona.
Huongeza kinga kwa mwili.
Huondoa mavimbe ya aina yoyote.
SPIRULINA TABLETS
Huwa na virutubisho muhimu kwa mwili mfano gramu moja(1g)
ni sawa na kilo moja(1kg) za mboga na matunda.
Spirulina uwa na protini muhimu kwa mwili.
Huponya vidonda vya ngozi na tumbo.
Husaidia afya ya watoto.
Huongeza kinga ya mwili.
MILK CALCIUM TABLETS
Calcium ni muhimu sana kwa mwili wa mwanadamu.
Nzuri kwa wakubwa,watoto na hata wajawazito.
Hupunguza acidi mwilini.
Hutia mifupa nguvu.
Huzuia ricket(matege) kwa watoto.
Hunyoosha misuli.
GINKARDIO TABLETS
Huimarisha mzunguko wa damu katika ubongo.
Huimarisha upitishai wa damu katika mishipa.
Husaidia akili kuwa timamu na uongeza kumbukumbu.
YONG CORDYCEPS
Husafisha mapafu,figo na ini.
Huongeza kinga mwilini.
Huondoa sumu mwilini.
Huboresha upumuaji.
Hupunguza makohozi.
Huzuia kansa na vimbe.
Huboresha mishipa ya damu na mzunguko wa damu.
BOLIDA CAPSULE
Chakula bora cha neva
Huboresha mzunguko wa damu na utuliza akili.
Inaongeza kumbukumbu ni nzuri kwa wanafunzi,wanaochoka na
Wenye wasiwasi na kukosa usingizi.
Bora kwa ubongo na akili.
AMARRHEA CAPSULE
Inazuia kuharisha kunakotokana na virusi,bakteria,parasite,fangasi na sumu.
Inatibu aina zote za fangasi katika mwili.
Inafaa sana kwa wasafiri,wagonjwa wenye kuharisha mara kwa mara.
ANDYBETE
Husawazisha kiwango cha sukari mwilini.
Huzuia uharibifu wa mwili unaotokana na kisukari.
Huondoa sumu mwilini.
Huzuia makali yanayosababishwa na kisukari.
BISLIM
Huondoa sumu mwilini.
Hupunguza mafuta mwilini.
Inapunguza unene
Inaondoa mavimbe
Inasaidia utenda kazi wa mwili.
ALOE SOFTGEL CAPSULE
Inasafisha tumbo.
Nzuri kwa vidonda vya tumbo.
Huondoa sumu mwilini.
Huua viini na vijidudu tumboni.
Huondoa gesi tumboni.
LYCOPENE SOFTGEL CAPSULE
Huongeza ongezeko la chembe chembe hai katika mwili.
Huongeza kinga ya mwili.
Huzuia vimbe mbalimbali.
Huondoa sumu mwilini.
SEABUCTHORN JUICE POWDER
Huondoa sumu mwilini
Hupatia mwili lishe muhimu(Amino acidi)
Houndoa uchovu
Ni kinywaji lishe bora
GOLDEN OYSTER CAPSULE
Inaimarisha kinga mwilini
Inapunguza mafuta kwenye damu
Inasaidia mgonjwa anayesumbuliwa na tatizo la ini,
Inaondoa mafuta kwenye ini,
Inasaidia utengenezwaji wa energy kwenye ini,
Inaimarisha ini,
Inazilinda seli za kwenye ini
Inaondoa uvimbe kwenye ini 

Share:

URINARY TRACT INFECTION (UTI)

What is a urinary tract infection?

Urinary tract is the system that makes urine and carries it out of your body. It includes your bladder and kidneys and the tubes that connect them. When germs get into this system, they can cause an infection.
Most urinary tract infections are bladder infections. A bladder infection usually is not serious if it is treated right away. If you do not take care of a bladder infection, it can spread to your kidneys. A kidney infection is serious and can cause permanent damage.
What causes urinary tract infections?
Usually, germs get into your system through your urethra, the tube that carries urine from your bladder to the outside of your body. The germs that usually cause these infections live in your large intestine and are found in your stool. If these germs get inside your urethra, they can travel up into your bladder and kidneys and cause an infection.
Women tend to get more bladder infections than men. This is probably because women have shorter urethras, so it is easier for the germs to move up to their bladders. Having sex can make it easier for germs to get into your urethra.
You may be more likely to get an infection if you do not drink enough fluids, you have diabetes, or you are pregnant. The chance that you will get a bladder infection is higher if you have any problem that blocks the flow of urine from your bladder. Examples include having kidney stones or an enlarged prostate gland.
For reasons that are not well understood, some women get bladder infections again and again.
What are the symptoms?
You may have an infection if you have any of these symptoms:
    You feel pain or burning when you urinate.
    You feel like you have to urinate often, but not much urine comes out when you do.
    Your belly feels tender or heavy.
    Your urine is cloudy or smells bad.
    You have pain on one side of your back under your ribs. This is where your kidneys are.
    You have fever and chills.
    You have nausea and vomiting.
Diagnosis is through testing your urine sample
How are they treated?

Antibiotics prescribed by your doctor will usually cure a bladder infection. It may help to drink lots of water and other fluids and to urinate often, emptying your bladder each time.
If your doctor prescribes antibiotics, take the pills exactly as you are told. Do not stop taking them just because you feel better. You need to finish taking them all so that you do not get sick again.
Can urinary tract infections be prevented?

You can help prevent these infections.
    Drink lots of water every day.
    Urinate often. Do not try to hold it.
    If you are a woman, urinate right after having sex.
    Postmenopausal women may want to ask their doctors about using vaginal estrogen to prevent recurrent UTIs.
Share:

Magonjwa ya Zinaa(Ngono ):Mambo Muhimu ya Vijana Kufahamu

Magonjwa ya Zinaa(Ngono ):Mambo Muhimu ya Vijana Kufahamu


Utangulizi:
Magonjwa ya ngono ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia kondom. Magonjwa haya  huweza kuwa-pata watu wa rika na jinsi zote hususani wale walio katika umri wa kuzaa (kati ya miaka 15-49).

Vijana wenye umri kati ya miaka 10 hadi 24 wanawakilisha moja ya tatu (1/3) ya idadi ya wakazi wote wa  Tanzania. Kundi hili liko katika hatari zaidi ya maambukizi  ya magon-jwa ya ngono kwa kuwa  wanapobalehe wanapata hisia za kupenda  na  pia  hamu  ya  kufanya  tendo  la  kujamiiana hujitokeza kwa nguvu. Hali hii huchochewa na vichocheo /homoni   vilivyomo mwilini ambavyo katika kupanda na kushuka husababisha hisia za kufanya tendo la kujamiiana. Hivyo basi,   ikiwa watakosa ufahamu wa kutosha kuhusu milli yao wanaweza  kujiingiza  katika tabia hatarishi  za kujamiiana bila kondomu na mwenzi zaidi ya mmoja.

Aina za magonjwa ya ngono:
Kuna  aina  mbalimbali  za  magonjwa  ya  ngono  ambayo yamegawanywa katika makundi kutokana na dalili zake kama ifuatavyo:
• Magonjwa yenye dalili za kutokwa na usaha au
majimaji sehemu za siri (ukeni na uumeni) ambayo ni Kisonono,Trikomonas na Kandida.
• Magonjwa yenye dalili za kutokwa na vidonda
ambayo ni Kaswende, Pangusa na Malengelenge sehemu za siri.
• Magonjwa yenye dalili za kutokwa na uvimbe
ambayo ni Mitoki, Pangusa na Malengelenge sehemu za siri.

Ieleweke kwamba, mtu anaweza kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa ngono kwa wakati mmoja. Kujitokeza kwa dalili za ugonjwa wa ngono hutegemea aina ya ugonjwa, jinsi na kinga ya mwili. Hata hivyo, baadhi ya watu hawaonyeshi dalili yoyote. Asilimia 10-15 ya wanaume na asilimia 60-70 ya wanawake  wenye  kisonono  hawaonyeshi  dalili  yoyote Hivyo basi, ni muhimu kijana unapoelezwa na mwenzi wako uliyefanya nae tendo la kujamiiana kwamba ameambukizwa ugonjwa wa ngono   usisite kwenda kituo cha huduma ya afya kwa uchunguzi na tiba hata kama huna dalili.

Dalili za magonjwa ya ngono:
Kijana uonapo dalili moja, au zaidi kati ya hizi zifuatazo nenda kwenye kituo cha huduma ya afya kwa uchunguzi;
Kwa kijana wa kike
• Maumivu chini ya kitovu
• Kutokwa na usaha au majimaji yenye harufu mbaya
sehemu za siri (angalia picha)
•   Kuwashwa sehemu za siri
•   Vidonda na vipele sehemu za siri, mdomoni na sehemu nyingine za mwili

•   Maumivu wakati wa kujamiiana
•   Kuvimba mitoki
•   Kuota sundosundo sehemu za siri
•   Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na muwasho au maumivu

Kwa kijana wa kiume:
•   Maumivu makali sehemu za siri wakati wa kukojoa
•   Kutokwa na usaha sehemu za siri
•   Vidonda sehemu za siri (angalia picha) Vidonda sehemu za mdomoni (angalia picha) Kuvimba mitoki
•   Kupata malengelenge

•   Kuota sundosundo (warts) sehemu za siri

Baadhi  ya  tabia  ambazo  zinaweza  kuchochea kupata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa urahisi zaidi:
•   Kujamiiana bila kondomu-vijana wengi hukosa
ujasiri wa kusisitiza matumizi ya kondomu kwa kuhofia kuachwa na wenzi wao
•  Kujihusisha na ukahaba
•  Kujamiina na wapenzi wengi
•  Kunyonyana sehemu za siri-kwa kuwa vimelea vya magonjwa ya ngono vinapatikana kwenye majimaji ya sehemu za siri ni rahisi mtu mwenye maambukizi ya magonjwa ya ngono kumwambukiza mwenzi
wakati wa kunyonyana.
•  Kunyonyana ndimi (kula denda)-baadhi ya vimelea vya magonjwa ya ngono hupatikana mdomoni
(Kisonono, Kaswende naVirusi vya UKIMWI) hivyo
huambukiza kupitia kunyonyana ndimi ikiwa mmojawapo ana maambukizi.

•  Woga wa vijana wa kike kuwashawishi vijana wa
kiume kutumia kondom wakati wa kujamiiana kwa sababu ya mfumo dume.
•  Kushiriki katika shughuli mbalimbali zinazosababisha
kufanya ngono bila mpangilio, kwa mfano; makundi yanayoenda ufukweni, kuangalia filamu za ngono au kushiriki kwenye ngoma za jadi zinazochezwa
usiku kucha, disko na matamasha
•  Tamaa ya kupata pesa pamoja na vitu vya thamani
kama simu za mikononi, magari kutoka kwa watu mbalimbali
•  Kuhusika na vitendo vya ubakaji
•  Utumiaji wa madawa ya kulevya au pombe ambayo
husababisha kijana kukosa ufahamu na hivyo kufanya ngono isiyo salama.

KUMBUKA:
Kuwa  mwangalifu  wakati  wote  iIi  usiweze  kutumbukia kwenye tabia hizo. Ikibidi kujamiiana tumia kondomu kwa usahihi

Athari za magonjwa ya ngono:
Magonjwa ya ngono yasipotibiwa  mapema na kwa usahihi huweza kuleta athari zifuatazo kwa mgonjwa;
Kwa kijana wa kike:
•   Kuziba kwa mirija ya uzazi ambako kunasababisha
aidha mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au ugumba
•   Maambukizi katika mfuko wa uzazi
•   Kupata Magonjwa katika viungo muhimu mwilini •   •  •   Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu
•   Kansa ya kizazi
•   Mabadiliko ya hedhi
•   UKIMWI

Kwa kijana wa kiume :
• Maambukizi katika kokwa za mbegu za uzazi
• Kuziba mirija inayopitisha mbegu za uzazi na kuleta
utasa
• Kupata matatizo ya kukojoa kwa sababu ya kuziba
njia ya mkojo.
• Kupata Magonjwa katika viungo muhimu mwilini
kama ubongo, moyo, na figo
• Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
• Kansa ya uume
• Kupungua nguvu za kiume
• UKIMWI
KUMBUKA:
Athari zote hizi zinaweza kuepukika iwapo magonjwa ya ngono  yatatibiwa  mapema  na  kwa  usahihi. Usiogope! Magonjwa ya ngono yanatibika

Mbinu za kupambana na Magonjwa ya ngono kwa vijana:
Ili kuepukana na maambukizi ya magonjwa ya ngono zingatia yafuatayo:
• Usifanye kitendo cha ngono kabisa
• Jiepushe kufanya tendo la kujamiiana katika umri
mdogo
• Jiepushe na ulevi na madawa ya kulevya
• Jiepushe na vitendo vya ubakaji
• Jihadhari na kupiga denda na mwenzi usiyejua hall
yake ya afya
• Jiepushe na vitendo vya kunyonya uume au uke wa
mwenza
• Tumia muda wako mwingi katika masomo, kazi za
mikono, michezo na sanaa
• Epuka vishawishi kama zawadi na lifti za magari
barabarani
• Epuka kukaa na mpenzi wako peke yenu hasa
nyakati za usiku
• Epuka makundi ya vijana walevi, wazururaji na
wavuta bangi au watumiaji wa madawa ya kulevya
• Ikiwa umeoa au kuolewa, kuwa mwaminifu kwa
mwezi wako katika tendo la kujamiiana.
Kinga dhidi ya Magonjwa ya Ngono
• Acha ngono kabisa katika umri mdogo
• Tumia kondomu ya kike au ya kiume kwa usahihi
kwa kila tendo la kujamiiana

Mambo muhimu ya kuzingatia ukipata maambukizi ya magonjwa ya ngono:
• Wahi kwenye kituo cha huduma ya afya kilicho
karibu nawe  kwa uchunguzi na matibabu sahihi
• Tumia dawa zote kwa kufuata maelekezo ya
mtaalam wa afya hata kama dalili za ugonjwa zimepotea
• Epuka kujinunulia dawa bila maelekezo ya mtaalam
wa afya
• Usifanye tendo la ngono mpaka utibiwe na kupona
kabisa
• Muarifu mwenzi wako mapema iii wote  mkapate
matibabu sahihi na ushauri nasaha

KUMBUKA:
Kuwepo kwa magonjwa ya ngono kunaongeza uwezekano wa   kuambukizwaVirusiVya UKIMWI .
Share:

Saturday 16 April 2016

HATUA TANO ZA KURUDISHA NA KUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KATIKA NDOA YAKO

HATUA TANO ZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KATIKA NDOA YAKO

Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa matatani, usiwe miongoni mwa watu wenye upungufu wa nguvu za kiume, yote hayo utayaepuka kwa kufuata ushauri huu ulio badili maisha ya watu wengi na bado elimu hii inaendelea kutoa shuhuda kwa kila mtu aliyekuwa na tatizo hili.
Nguvu za kiume hapo zamani za kale na tafiti za kisayansi zinaonesha ni matokeo yanayotokea uzeeni kuwa ni jambo la kawaida kwa umri mkubwa, lakini napenda nikwambie kuwa uzeeni ambao unaambatana na magonjwa sugu kiasi hicho ni moja wapo ya sababu nikuweke kwenye kundi la watu wanaozeeka vibaya. Kwa kawaida binadamu hustahili kuzeeka na magonjwa tunazeeka na magonjwa kwa sababu tunayasababisha sisi
kwa maisha ya kifahari tunayoishi na kusahau kuwa afya yako sio hazina ya milele,unatakiwa kuiheshimu,kuilinda na kuimarisha ili uje ufurahie uzee wako usio na magonjwa. Najua kuwa hadi sasa ukifanya tafiti vijana wa umri wa miaka 20 hadi 30 ndio wanao ongoza kwa kusumbuka na matatizo haya ya nguvu za kiume tofauti na matarajio yetu wote kuwa tatizo hili tunasoma kuwa linawapata wazee, swali la kujiuliza kwa nini sasa vijana tena katika umri mdogo? Ndio maana nimeamua kukuandikia Makala hii ambapo kama ni miongoni mwa watu wanaosumbuka hili tatizo nina uhakika tatizo lako utapata suluhisho kutokana na elimu hii rafiki yangu. Pia najua unaweza ukawa na mchumba wako, unavumulia mengi kuhusu tatizo hili la mwenzi wako, usiwe mkimya kwani inahitaji utashi wa juu sana kumweleza mwenzi wako kuhusu hili swala kwani upungufu wa nguvu za kiume unasababisha msongo wa mawazo wengine hupelekea hadi kuchanganyikiwa hatimaye kupata MAJOR DEPRESSIVE DISORDER na mbali na hivyo husababisha kutokujiamini na woga wa kuwa na mke na hivyo wengi wamejaa wasiwasi na hofu kubwa ya kugunduliwa na mwezi wake kuwa ana tatizo hilo, na wengi wao ni woga sana kutogunduliwa tatizo hilo,ndio maana inapofikia hatua mwenza wako umembaini ni mara chache sana atakubali kuwa kweli ana tatizo hilo. Kwa nini usumbuke na matatizo kama haya wakati msaada wako upo? Usiendelee kusumbuka na tatizo hili kwani umeumbiwa maisha ya furaha na Mungu ni haki yako kufurahia uumbaji wa Mungu, anza leo kushughurikia tatizo kabla halijawa sugu mpendwa msomaji wa Makala hii.

NINI KISABABISHI MSINGI WA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya Testosterone ambavyo hutolewa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali tulivu,kuondoa,kuondoa msongo,kuondoa mstuko wa aina yoyote ,kuimarisha uwezo wa kufikiri,kuimarisha furaha ya mwili wako na hatimaye kuimarisha nguvu za kiume na hatimaye kufurahia tendo la ndoa. Kazi kubwa ya kichecheo hiki ni kuhakikisha mwili wako unakuwa katika hali tulivu kabisa kwa kuutuliza ubongo wako ndipo utafurahia ndoa yako rafiki yangu.
Sasa endapo kichecheo hiki kikivurugika kinasababisha vichocheo vingine kama insulin,leptin,cortisol,vichocheo vya ukuaji pia kuvurugika kwani matokeo ya hitililafu hii mwilini inasababisha  KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME kwa sababu vichocheo hivi vinafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa, na endapo kimoja tu kikivurugika vyote vinapoteza mwelekeo na tatizo kuwa sugu Zaidi.
Napenda leo nieleze kwa kina kidogo namna gani nguvu za kiume zinapotea kutokana na mvurugiko wa vichocheo hivyo vikuu vitatu kama nilivyo vitaja hapo juu.


1.       TESTOSTERONE
Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kicheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa. Upungufu wa kicheo hiki kinasababisha kupungua kwa matamanio kwa jinsia tofauti,kupungua kwa nguvu za misuli yako kiutendaji,mafuta kurundikana ovyo mwilini( BELLY FAT AND OBESITY)
Lakini pia ijulikane kuwa kichocheo hiki cha testosterone sio kwamba kinapatikana kwa wanaume tu, la hasha! Kichocheo hiki hata wanawake wanacho ingawaje kwa kiwango cha chini sana, endapo kinapokuwa kimepungua kinaweza kumsababishia mwanamke kukosa matamanio kwa jinsia ya kiume wakati wa tendo la ndoa, kukosa nguvu ya misuli ya kuhimili tendo la ndoa (Kuchoka Sana),kuongezeka uzito kupita kiasi na nyama uzembe pia kupunguza uwezo wako katika kufikiri na kumbu kumbu.

NINI KINASHUSHA TESTOSTERONE MWILINI MWAKO?
Moja ya kisababishi kikubwa cha testosterone kushuka kiwango chake ni kwa sababu ya kuwepo na kizuizi cha insulin (insulin resistance) hii inafanya kiwango cha insulin kuwa juu sana na kusababisha testosterone kushuka kiwango chake. Moja ya sababu zinazo sababisha kiwango cha insulini kuwa juu sana ni unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda na pia ulaji wa vyakula vyenye vionjo mbalimbali vitamu vilivyotengenezwa viwandani. Hivyo basi sukari inapokuwa ipo katika kiwango cha juu sana kwenye damu inasababisha utolewaji wa insulin kuwa katika kiwango cha juu pia kwenda kusawazisha sukari irudi kawaida. Hivyo basi matumizi ya vyakula na vinywaji vya sukari nyingi vinafanya mwili upate kizuizi katika utendaji kazi wa insulin na hatimaye testosterone pia kushuka kiwango chake. Najua umejifunza sasa kwa nini watu wanaotumia vyakula vya viwandani,vinywaji vya sukari nyingi,ulaji wa vyakula vyenye mafuta mabaya jinsi gani inasababisha vichocheo vyako kushuka kiwango na unaendelea kusumbuka sana. Napenda kukuambiwa kuwa siku zote watu hawaogopi vyakula vyenye sukari wanaogopa vyakula vyenye mafuta mengi, hio ni fikra potofu sana! Sugar is more addictive than heroin and cocaine, kwa maana nyingine watu ni walevi wa vyakula na vinywaji vya sukari na haipo siku anaweza kuacha haraka. Usihofu kama una tatizo hilo ujue tayari umeshaathiriwa na ulaji wa vyakula na vinywaji hivyo.


2.       INSULINI
Hiki ni kichecheo ambacho hutolewa na kongosho lako ili kwenda kusawazisha kiwango cha sukari mwilini mwako. Kazi kubwa wa maji haya ya insulin ni kuhifadhi nishati ya mwili kwa matumizi ya baadae pale mwili unapokuwa una nishati ya kutosha na hautaki kupoteza nishati ya ziada. Nishati hii huhifadhiwa asilimia kubwa katika mfumo wa glycojeni mwilini mwako kwenye misuli,ini nk. Sasa inapotokea kiwango chako cha ulaji wa vyakula vya sukari ni kikubwa sana ndivyo kiwango kingi cha insulin kitatengenezwa na kumwagwa kwenye mzunguko wa damu kwenye kuhifadhi sukari ya ziada ambayo haitumiki wakati ule na hatimaye kusazisha kiwango cha sukari mwilini mwako. Kazi ya insulin sio kushusha sukari kama wengi tunavyofundishwa darasani! Kwa nini nasema hivi? Kazi ya insulin ni kuhifadhi nishati ya ziada kwa matumizi ya baadae na hivyo basi kupungua kwa sukari ni matokeo ya kazi ya insulin mwilini mwako.

HEBU SOMA TAFAKURI HII:
Umeingia katika chumba ambacho umekuta harufu mbaya sana ya deodorant spray au perfume punde tu utakapo ingia katika chumba hicho utasumbuka sana na harufu hio kwa muda mfupi na hatimaye unaizoea na kuona ni harufu ambayo haina madhara wala usumbufu kwako.

Huu mfano utakusaidia kujua kwa nini tunasema insulin yako imeshindwa kufanya kazi, na umepata kizuizi katika utendaji kazi wake. Nimesema insulin hutolewa kwa kiwango kikubwa sana kulingana na kiwango cha sukari mwilini mwako, kiwango hiki kingi cha insulin kwenye damu kwa muda mrefu inaweza kupelekea insulin kupoteza kazi yake kiuhalisia. Na pia kitu kingine ambacho kinaweza kupelekea insulin kutofanya kazi ni vipokea insulin kutoitikia kwa sababu ya mafuta mabaya kuleta kizuizi katika vipokezi vya insulin. Vitendo vyote hivi viwili vinasababisha kiwango cha insulin kuwa juu wakati wote  na kama nilivyo eleza mwanzo kuwa kiwango cha insulin kinavyozidi kuwa kingi mwilini mwako kinashusha vichocheo vya Testosterone ambavyo ndio silaha yako mwanaume. Hivyo basi ukiangalia katika maelezo haya utagundua kuwa ulaji wa vyakula na vinywaji vingi vya sukari vinasababisha kiwango cha insulin kuwa juu muda wote ambapo nacho kinapelekea vichocheo vya kiume kushuka na hatimaye unakumbwa na matatizo ya kukosa matamanio kwa jinsia tofauti,msongo wa mawazo,misuli kukosa nguvu muda wote umechoka,uzito kuongezeka kwa kasi sanana wengine hupelekea kumilki vitambi.
Pia kiwango kingi cha insulin kwa muda mrefu kwenye damu kinaweza kupelekea kupata nywele usoni kwa wanawake,mwanaume kuishiwa vinyweleo sehemu kama kifuani,tumboni na maeneo mengine mengi.

3.       LEPTINI
Hiki ni kichocheo cha pekee sana na huwa napenda sana kukizungumzia kwani kinaonesha jinsi gani binadamu alivyo umbwa kwa kutumia teknolojia ya uhandisi wa hali ya juu. Hiki ni kichecheo ambacho kinatengenezwa na seli zinazohifadhi mafuta ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye misuli kazi yake kubwa ni kupeleka ujumbe kwenye ubongo katika kuendesha hamu yako unapokuwa una chakula mbele yako, na ubongo huitikia kwa kutoa taarifa ya kutosheka na chakula kwa kujihsi umeshiba na huwezi tena kuendelea na chakula.
Sasa basi ulaji wa vyakula vingi bila mpango vyenye sukari nyingi unasababisha seli za kuhifadhi mafuta (FAT CELLS) kutengeneza kwa wingi leptin ili kwenda kutimiza kazi yake. Kiwango cha insulin na leptin hupanda kwa pamoja kama mapacha vile. Hivyo hivyo kumbuka tafakuri ile pale juu ya perfume, itafikia wakati kiwango kingi sana kinasababisha leptin kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi yake ( KUKATA HAMU YA CHAKULA) hivyo utakuwa una tatizo la kula mlo mkubwa ambao hata siku moja hautosheki na ukitosheka muda si mrefu unahitaji tena kula. Hawa ndio watu wengi ni wahanga wa muda wote wanapenda kula vyakula vitamu vitamu tu, hamu haiishi (Sugary addicted,sugar craving) na wengi huishia kupata matitizo ya kiafya kama kuishiwa nguvu za kiume,uzito kupita kiasi,kitambi na kuishiwa nguvu kabisa ya misuli yote haya ni kwa sababu kiwango kingi cha leptin na insulin kinashusha vicheo vyako vya testosterone.

4.       CORTISOL
Hiki ni kichocheo ambacho hutolewa na mwili pale unapokuwa katika hali yoyote ya mstuko ili kwenda kukabiliana na mtuko huo.
Mfano labda Dr Boaz Mkumbo nilikuwa natembea njiani ghafla nikaona nyoka huyo mkubwa chatu. Mwili utastuka sana na kutoa vichecheo vinavyo enda kupambana na hio hali iliyoshtua mwili wako, mfano cortisol huenda kuongeza kiwango cha nishati ya mwili (glucose) kwenye damu na kuwa na nguvu ajabu ya kumkimbia adui yako aliyepo ,mbele yako.
Cortisol pia hutolewa hata kama mwili wako umekabiliwa na mstuko ndani kwa ndani mfano,sukari mwilini imepungua mwili unatoa cortisol ambayo kazi yake kubwa ni kubadili ile nishati iliyokuwa imehifadhiwa katika mfumo wa glycogen kwenye misuli na ini kuwa sukari na hatimaye kuongeza sukari mwilini mwako.
Sasa tafiti zinasema kwamba,kiwango kingi cha cortisol kwenye damu kinachosababishwa na msongo,mstuko ndani ya miili yetu inayo endelea inasababisha LEPTIN kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi yake ipasavyo.
Na endapo leptin ikishindwa kufanya kazi yake ipasavyo utakuwa una tatizo la kula sana hasa vyakula na vinywaji  vya sukari bila hamu kukata na hatimaye kusababisha insulin kupanda juu na testosterone kushuka chini na hatimaye kuishiwa nguvu za kiume,matamanio kwa jinsia tofauti nk.
Hongera sana kwa kuendelea kusoma Makala hii, hapo juu nilitaka kukueleza tu nini kinatokea endapo unapatwa na upungufu wa nguvu za kiume kwani wengi mmekuwa mkinipigia simu kutaka kujua kwa nini nguvu za kiume sasa, basi leo nazani umejifunza kitu, kama hujaungana nami katika ukurasa wangu facebook hebu bofya like Dr Boaz Mkumbo MD utafurahia Makala zangu nyingi sana nzuri zimeandaliwa kwa ajili yako.
Basi napenda nikupe vitu vikuu 4 vinavyo angamiza watu kukosa nguvu za kiume hawa ndio maadui wako wakuu kuhusu tatizo lako hilo mpendwa, hebu endelea kusoma upate suluhisho lako,ufurahie ndoa yako,

VITU 4 VINAVYO ANGAMIZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NA KUKUACHA MWENYE MSONGO WA MAWAZO NA MPWEKE KATIKA MAHUSIANO AU NDOA YAKO

Hebu basi napenda nikwambie hawa maadui wako, najua utashangaa kuwa ni maadui ambao kila siku ni marafiki zako, na hujui kuwa wanaangamiza msingi wa ndoa yako na inaweza kuwa unajua lakini unayapuuzia haya tunayokufundisha kupitia elimu hii ya afya, huwa napenda kuwaambia wagonjwa wangu kuwa afya yako ni mali yako sio ya daktari wala muuguzi wewe ndiye una mamlaka ya afya yako kuiweka sawa au kuidhoofisha.  Hivyo napenda kukuambia kuwa afya yako sio hazina ya milele linda sana afya kuliko vyovyote ulindavyo kwani ndio msingi wa furaha zote duniani.


1.       Vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda

Hivi ndio vimekuwa ni vinywaji vya kila siku hasa kwa wafanya kazi, ndio maana wengi ndio wamekuwa wakisumbuka na matatizo haya ya kiafya kwani wanakula vyakula huwa napenda kuviita vya chapuchapu, yani anataka soda ya kuvuta muda ili baadae akale, ndugu yangu nimeongelea jinsi gani sukari nyingi inashusha nguvu za kiume tena kwa kina Zaidi. Wengine huuliza sasa Dr mimi siwezi kabisa kujizuia kunywa soda hata masaa tu, kwani kwenye friji zimejaa, ni kweli huwezi kujizuia kwa sababu tayari umeshakuwa ni mlevi wa sukari (sugary addicted, sugary craving) vyote hivi unaweza kujizuia kwa kukutana na mshauri wa afya lishe atakupa maelekezo mazuri namna gani unaweza kukata sugar craving kiurahis kabisa. Kumbuka kiwango kimoja cha kichecheo kikivurugika vyote vinavurugika hivyo tunatakiwa kulinda sana kiwango cha insulin kuwa katika kiwango kizuri muda wote ili kufurahia ndoa zetu.
2.       Kuepuka kabisa ulaji wa vyakula vya mafuta

Watu wengi sana huwa na fikra potofu kuwa chakula chochote cha mafuta ni kibaya, na hivyo hujizuia sana kula vyakula hivyo kwa kuogopa kunenepa, napenda nikwambie kuwa hakuna adui mkubwa wa magonjwa yote kama SUKARI hivyo vyakula vya sukari ndio chanzo cha magonjwa mengi ya tabia ambayo ni magonjwa sug hapa duniani, ndio chanzo cha uzito mkubwa kupita kiasi,kitambi,shinikizo la damu,kisukai,upungufu wa nguvu za kiume,uvimbe kwenye kizazi,mzunguko mbaya wa hedhi,ugumba,utasa nk hivyo basi kuna usemi unasema “SIO MAFUTA YANAKUFANYA MGONJWA, BALI SUKARI NDIO INAKUFANYA ULEMEWE NA MAGONJWA”
Tafiti zinaonesha kuwa ulaji wa vyakula yenye mafuta kidogo sana tafiti zinaonesha kuwa vichocheo vya progesterone hupungua na kupelekea kupoteza nguvu za kiume na matamanio kwa jinsia tofauti.

3.       Nyama na vyakula vyote vya kusindika viwandani
Napenda kusema kuwa ulaji wa vyakula hivi sio ufahali katika familia yako, bali ni uzembe katika uandaaji chakula katika familia yako, kuna usemi unasema kuwa, ukitaka uishi kwa bajeti kubwa katika familia yako, kula vyakula asili ambavyo babu zetu walikula enzi zile (EAT ORGANIC) ndio maana watu wengi hawapendi kula vyakula asili, wanatafuta vyakula vilivyo sindikwa kwani havina gharama kubwa. Kuna usemi unasema, unapokuwa upo jikoni unandaa chakula chako kwa familia yako, unatakiwa ujiulize kwa nini vyakula hivi vya kusindika vina bei rahisi kiasi  hiki?
Ulaji wa vyakula hivi,siku zote huenda kuangamiza bakteria rafiki (Normal flora) pia wengi hupendelea kuita gut probiotics na unapokuwa umewaangamiza hawa ndio chanzo cha magonjwa yote kwani katika Makala zangu zilizopita nilieza namna gani mfumo wa chakula unaweza kuwa chanzo cha afya bora yako, na chanzo cha magonjwa yote mwilini mwako. Unapokuwa umeangamiza hawa viumbe katika mfumo wa chakula kwa sababu ya vyakula ambavyo wao, hawavitambui, unakuwa ni mtu wakushambuliwa na maradhi nyemelezi yote na kudhoofisha ukuta wa mfumo wa chakula na hatimaye unaweza kuanza kupenyeza sumu (toxins), bakteria wabaya kama E. Coli, vyakula ambavyo havijameng’enywa vizuri na protini zingine kama gluten ambazo ni hatari kwa afya yako. Hivyo kama wewe umekuwa ukisumbuka na nguvu za kiume na umekuwa ni mlaji mzuri sana wa vyakula hivyo, hakikisha una viepuka kuwa mtu unayependa vyakula asili, vitarudisha uhalisia wa mfumo wako wako wa chakula kwa kuondoa tatizo la tumbo kujaa gesi na choo kuwa ngumu.



4.       Sumu mbali mbali kutoka kwenye mazingira
Watu wengi sana wanapokuwa wanazungumzia tatizo la nguvu za kiume wanasahau kuahusisha mahusiano yaliyopo kati ya upungufu wa nguvu za kiume na mazingira yako. Najua kuwa tumekuwa tukijishughurisha na shughuli mbali mbali ambazo zinatufanya tugusane na sumu mbali mbali, mfano madini ya mercury ambayo sasa yapo kila kona katika biashara zetu, madini ya lead haya ni madini mazito na hatari sana kwenye kudhoofisha utendaji kazi wa mwili wako, kukuletea msongo wa muda mefu na mengine mengi ambayo yanapelekea kupoteza nguvu za kiume. Kwa dunia ya sasa ya viwanda huwezi kuziepuka sumu kama hizi mwilini mwako, ni jukumu lako kuhakikisha unajijengea mazoea ya kuondoa sum nzito hizi na mionzi mbali mbali katika mwili wako na hatimaye kuimarisha afya yako.

Najua umejifunza kwa nini sasa una upungufu wa nguvu za kiume au huna kabisa nguvu za kiume basi ningependa ijifunze jinsi gani unaweza kuhakikisha unaondokana na tatizo hili na ukafurahia ndoa yako na mahusiano yako kuanzia sasa, naomba basi nikuokoe katika tatizo hilo kwa kusoma njia tano za kurudisha nguvu za kiume



NJIA SABA ZA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME

Najua umekuwa ukisumbuka kila siku kufurahia ndoa yako, hadi imefikia hatua mbaya, najua umekuwa mnyonge na mwoga wa kugundulika kwa mwenza wako kuwa unasumbuka na tatizo hilo, umejaa woga, umegubikwa na msongo wa mawazo na umekuwa ukizunguka kila sehemu upate msaada na hatimaye umekuwa ukitoa pesa bila hata kurudisha furaha ya ndoa yako na nafsi yako! Pole lakini elimu ni bora kuliko yote yaliyokupata ndugu, hebu soma hiki ambacho nimekuwa nikipewa asante kila siku na wagonjwa wangu wewe pia uwe miongoni mwao.



1.       Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika, vyenye vionjo vya sukari,rangi na radha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume. Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa,matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asili na utafurahia ndoa yako. Anza kuanzia leo rafiki
2.       Epuka pombe katika maisha yako yote kwani tafiti zinaonesha kwamba pombe inakupa hamu au shauku ya kufanya tendo la ndoa lakini inakunyima uwezo wa kufanya tendo la ndoa! Najua utashangaa lakini ndivyo ilivyo, kuna usemi wa kiingeleza unasema,  “It provokes the desire, but it takes away the performance,”  sio hayo tu mpendwa pombe pia sugu, ni chanzo cha msongo wa mawazo  na kukupelekea kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa
3.       Fanya mazoezi ya kutosha. Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbali mbali kama vile ubongo,ini,figo ambazo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katika uhalisia wake. Hivyo basi magonjwa mengi ya msunguko wa damu ni pamoja na nguvu za kiume kwani kama hufanyi mazoezi mwili wako unadhofika na kukosa uwezo wa kuhimili ndoa yako pia inapunguza nguvu za kiume. Basi ningependa kuwa kwa wale wazee siku hizi kuna vituo mbalimbali ambavyo vitakusaidia mwili wako kuwa imara na kurudisha uwezo wako katika tendo la ndoa kupitia mazoezi. Unaweza pia kuwasiliana nami nitakupa taratibu za kufuata kukusaidia uanze mazoezi ya viungo kwa kutumia mashine maalumu kwa umri wako ambazo zitasaidia kuimarisha mwili wako. Mazoezi huimarisha mwili wako na kuweka mbali mwili wako na maradhi mbalimbali yanayo sababishwa na uzembe katika mazoezi, usisumbuke kufanya mazoezi yenye kuumiza mwili wako, wasiliana name kwanza kabla ya kufanya lolote.
4.       Rudisha Virutubisho ambavyo vimepotea mwilini mwako
Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi kama zinki,chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi, kwani madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.
Unaweza kupata madini haya yote kutoka kwenye mboga za majani kama wewe ni mvivu basi unaweza kunywa juice inayotokana na mboga mboga kama kabeji,spinachi kale, nk. Kwa wale ambao ni kaz sana kuhimili zoezi hilo unaweza kujipatia kirutubisho hicho ofsini kwetu ambacho kina madini yote hayo.
5.       Ondoa mafuta mabaya amabyo yanapunguza utendaji kazi wa mzunguko wa damu, unaweza kuondoa kolestero mbaya mwilini mwako kwa kutumia mafuta ya omega 3 ambayo unaweza kula vyakula vyenye mafuta haya kama samaki kwa wingi, flaxseeds, blackseeds ni baadhi ya vyakula ambavyo vimekuwa vikionekana kwenye nukuu za habari kuwa ni vyakula vyenye uwezo mkubwa wa kusafisha mafuta mabaya  mwilini mwako. Unaweza pia kufika ofsini kwetu kama utahitaji mafuta haya yaliyotengenezwa kitalamu utayapata na yatakusaidia.
6.       Ondoa Sumu kwa kutumia viondoa sumu. Kuna sumu aina kuu tatu ambazo mimi huwa napenda kuziongelea siku zote na kushughurika nazo kwa wagonjwa wangu kama zifuatazo,
        -Sumu ambayo inatokana na mabaki ya hewa ya oksijeni yani Free radicals ambayo ni moja wapo inaweza kuumiza seli za mwili wako na kusababisha seli zako kubadili mtazamo wa ukuaji na kuendelea kuzalishwa seli mbovu na hatimaye zinaweza kupelekea hata kupata kansa.
      -Sumu ambazo tunazipata kutoka katika mazingira yetu ya kazi kwa kukutana na metali nzito kama lead, na mercury ambazo ni kizuizi kikubwa sana katika utendaji wa mwili wako, pia sumu inayotokana na mionzi mbalimbali inayotokana na kuchokozwa kwa miamba ya ardhi ( Earth’s crust)
       -Sumu inayotokana na vyakula tunavyokula ambavyo huenda na kuathiri mfumo wako wa chakula na hatimaye kuharibu ulizi wa mwili wako katika mfumo wa chakula. Afya yako huanzia katika mfumo wa chakula na magonjwa yote huanzia katika mfumo wa chakula.

Basi unaweza kuondoa sumu hizo kutokana na visababishi vyake kama nilivyo eleza. Unaweza ukajipatia huduma hii kwa kutumia njia kuu zifuatazo

-Tunakupatia Dawa ya siku 30 ambayo napenda kuitambulisha kwako pia utumie kama utaona itakufaa kama wengine. Dawa ambayo itakuondolea sumu zote za free radicals na metali nzito za aina zote na kurudisha utendaji kazi wa mwili wako na kurudisha nguvu za kiume.
- Kwa wale ambao umri kidogo umeenda hawawezi kufanya mazoezi vizuri ningependa unipigie simu Nikusaidie tatizo lako mpendwa.
Najua umejifunza mengi sana kuhusu tatizo la nguvu za kiume, sasa napenda nitimishe kwa kukuambia kuwa suluhisho la nguvu za kiume lipo kabisa ni kuhakikisha tu, unaliondoa tatizo hilo kwa kufuata elimu hii, na kama unaona elimu hii ni muhimu kwako basi unaweza pia kutupigia na kufika kwetu moja kwa moja kupata suluhisho la tatizo lako
Unaweza tembelea
Whatsapp: 0757157702
Email:fkulwa71@gmail.com

DAR ES SALAAM
Share:

Health & Business Consultant Francis Kulwa has been added to your page

TOTAL PAGE VIEWERS

Live Traffic Feed

Health & Business Consultant Francis Kulwa

INSTAGRAM

Instagram
francis kulwa. Powered by Blogger.

Recent Posts

Unordered List

Theme Support